Facebook LIKE

Friday, June 22, 2012

Muonekano wa Cyrill"KAMIKAZE" watu washindwa kuamini macho yao wengine wabaki hoi na walivyomuona..........!

Msaani kutoka kundi la WAKACHA ambaye pia ndiye kiongozi wa kundi hilo linalosifika kwa Swag za uhakika ndani ya Bongo Cyrill aka KAMIKAZE juzi kati alizua sitofahamu baada ya muonekano wake kuwa tofauti na kawaida yake,kituko hicho kilitokea maeneo ya Ubungo wakati akishoot video mpya ya msanii kutoka kundi lake la WAKACHA,GiggaFlow nyimbo ambayo Cyrill ameshirikishwa iitwayo Usiku na Mchana.Moja kati ya mashabiki hao alikuwa mwanadada ambaye alishindwa kuamini alichokiona baada ya kumuona Cyrill katika hali hiyo huku wengine wakizani amerogwa....!Baadae aligundulika na mashabiki hao kuwa Cyrill alikuwa location akishoot video hiyo mpya.
GIGGA FLOW FT CYRILL-USIKU NA MCHANA


HAHAHAAAA.....!HUYU NDO CYRILL KATIKA VIDEO MPYA ULIOSHANGAZA WATU
MOJA YA MASHABIKI WAKE ALIBAKI HOI KABLA YA KUJUA NI LOCATION
BAADA YA KUJUA ALIKUWA LOCATION BASI NAMBA ZIKAHUSIKA
AKIWA ANASHOOT VIDEO HIYO YA GIGGA FLOW
KAMIKAZE KAZINI
GIGGA FLOW NA KAMIKAZE-USIKU NA MCHANA NEW VIDEO SOON
GIGGA FLOW FT CYRILL-USIKU NA MCHANA VIDEO SOON STAY TUNED

No comments:

Post a Comment