Facebook LIKE

Saturday, June 23, 2012

Matukio katika Video na Picha shoo ya usiku wa Wema Sepetu uzinduzi wa filamu yake mpya ya "SUPERSTAR" Mnigeria OMOTOLA nae ndani

Msanii maarufu Bongo,Wema Sepetu hapo jana alikuwa anazindua filamu yake mpya iitwayo "SUPERSTAR" katika ukumbi wa Hoteli ya Kempenski ambapo katika tafrija hiyo iliyoandaliwa na msanii huyo ambaye amekuwa gumzo nchi nzima,mgeni rasmi alikuwa msanii kutoka Nigeria,OMOTOLA JALADE.Pia Wema alikuwa anazindua rasmi kampuni yake ya movie iitwayo"ENDLESS FAME" ambayo ndo iliyotengeneza movie hiyo mpya ya mwanadada huyo.Hapa ni picha za baadhi ya watu waliohudhuria PICHA ZAIDI YA 40
MARIAM NDABA(MissiePopular)

BELINA




SINGLE MTAMBALIKE(RICH)

SHAA


IZZO BIZNESS na DJ CHOKA
BONYEZA "READ MORE" HAPO CHINI KUONA PICHA ZAIDI

DINA MARIOS

RIO PAUL

Lucky

MARTIN KADINDA"Meneja wa Wema"
WEMA SEPETU na MWIGIZAJI KUTOKA NIGERIA OMOTOLA JALADE

MIRIAM ODEMBA on orange na MANGE

MWANA FA


WEMA

WEMA

COVER YA MOVIE YAKE ILIYOKUWA INAZINDULIWA "SUPERSTAR"

BAADHI YA SCENE ZILIZOPO KWENYE MOVIE HIYO YA "SUPERSTAR"

SCENE ZA "SUPERSTAR"

WEMA SEPETU

WATU WALIKUWA NYOMIII

SHAA AKIPERFORM

WEMA akiwa na mgeni rasmi mwigizaji kutoka Nigeria OMOTOLA JALADE

WATU WALITOKELEZEA

Myler Nyangasa

MTANGAZAJI WA CLOUDS TV SHADEE

MWASITI NAE NDANI

BEN KINYAIYA NA SHADEE WA CLOUDS TV

OMMY DIMPOZ KATIKATI,KENNY FRANCIS KUSHOTO NA OMBENI

DOKII NAE ALITOKELEZEA

MAINDA 

MZEE WA MAGUBE GUME,BARNABA akiwa na MENEJA WAKE

ALLY REMTULLAH 




WAANDISHI WAKIENDA SAMBAMBA

QUICK RACKA

UKUMBINI

MTITU AKIWA KWENYE RED CARPET

ASYA IDAROUS

2 comments:

  1. JAMANI WEWE MWENYE BULOGU HII, VIPICHA VYAKO VIDUUUUNCHUUU SAAAANAA YAANI UNATUUMIZA MACHO WAMATAZAJI WAKO JAMANI, HEBU FANYA MPANGO WA KUKUZA HIZI PICHA PLIZ

    ReplyDelete
    Replies
    1. Usijali next time tutakuwa tunaweka picha KUBWA zaidi...!!Usijali tutafanyia kazi kila kitu

      Endelea kutembelea www.wenyemji.blogspot.com

      Delete