Facebook LIKE

Thursday, June 21, 2012

Mhe Halima Mdee sasa ageukia kwenye BongoMovie...............!


Mbunge kijana ambaye ni rafiki wa wasanii tofauti wa Bongoflava na Bongomovie kama MasanjaLady Jay Dee na wengine kibao. So labda sanaa imemvutia mheshimiwa kijana na yeye kutaka kufanya movie. Mastori ni kwamba, inasemekana kwamba
Mhe Halima Mdee amefanya scene kadhaa ya Bongomovie ambayo ipo kwenye hatua za mwisho kukamilika. Get ready kuona kipaji kingine zaidi ya uongozi ambacho all might amemjalia binti Mdee.

No comments:

Post a Comment