Facebook LIKE

Thursday, June 28, 2012

Huu ndio mzigo ambao Drake na Chris Brown wamewekewa mezani ili.........................!"wapande ulingoni"

  • Mashabiki wataka Rihanna awe refa
CHRIS BROWN
Siku chache baada ya wanamuziki walio kwenye bifu kubwa Chris Brown na Drake kuwekewa mzigo wa dola za Kimarekani millioni 1 kila mmoja iliwapande ulingoni kuzichapa,Chris Brown amejibu na kusema yupo tayari kwa pambano hilo kupitia Twitter account yake Breezy aliweka picha akiwa chini ikimaanisha lazima atamgalagaza chini rapper huyo wa YMCMB,Drake.Kama inavyoonekana hapo juu ndo jinsi atakavyogalagaza.Ila baadhi
ya mashabki wamependelea kama kweli pambano hilo litakuwepo basi wanataka mwanadada ambaye inasemekana ndo chanzo cha bifu lao,Rihanna awe refa wa pambano hilo.

No comments:

Post a Comment