Facebook LIKE

Showing posts with label Marco Chali. Show all posts
Showing posts with label Marco Chali. Show all posts

Friday, June 15, 2012

Video mpya ya AY ft.MarcoChali-Party zone,hii hapa iligharimu dola 20000 za Kimarekani.....

Sunday, May 27, 2012

Msanii AY ndani ya SouthAfrica akishoot video yake mpya iliyogharimu...


Msanii anayefanya vizuri kimataifa kutoka Tanzania AY alifika salama nchini Afrika Kusini kwaajiri ya kushoot video ya wimbo wake mpya msanii huyo,ambaye aliambatana na Producer kutoka MJ Records,MarcoChali ambaye ndiye mtayarishaji wa wimbo huo mpya wa AY.Video hiyo inasemekana imegharimu dola za kimarekani 20000(takribani millioni30 za kibongo) na Director wa video hiyo ni MikeOgeke ambaye ni Mnigeria anayeishi AfrikaKusini pia Director huyo hufanya kazi na wasanii wa Nigeria kama P-Square ambao pia inasemekana wapo AfrikaKusini ila haijadhibitishwa kama wataonekana kwenye video hiyo ya AY.