Edit This Menu
Facebook LIKE
Showing posts with label BURUDANI. Show all posts
Showing posts with label BURUDANI. Show all posts
Sunday, September 23, 2012
Wednesday, August 22, 2012
Baadhi ya picha za duka la linalomilikiwa na rapper Soulja Boy alilolifungua hivi karibuni..!!
| RAPPER TWISTA ALIJITOKEZA KUMSAPOTI SOULJA BOY |
| BUN_B NAE ALIJITOKEZA KUMPA SAPOTI SOULJA BOY |
| SOULJA BOY AKIWA KATIKA DUKA LAKE |
| SOULJA BOY AKIWA NA MMOJA YA MASHABIKI WAKE KWENYE DUKANI LAKE |
| Add caption |
| BAADHI YA WATU WALIOJITOKEZA KWENYE DUKA HILO |
| SOULJA BOY AKIWA NA MASHABIKI WAKE |
| TUNECHI(LilWayne) nae |
| soulja boy |
TodayNa kama upo Twitter waweza Kutufollow pia kupitia hapa;@blvdsupplysodmg RT@g_fresh11:@souljaboy whenull be ready to start sell...Im a store owner!!Holla back
— Soulja Boy (@souljaboy) August 20, 2012
Are you on Twitter you can now follow us there press this Link>> twitter.com/WatotoWaMjini fb.me/1YfyGBVuo
— Wenye Mji (@WatotoWaMjini) August 22, 2012
Mshindi wa shindano la Bibi Bomba huyu hapaa....!!
Shindano ambalo lilikuwa likionyeshwa na kuandaliwa na Clouds Media Group kupitia kituo chake cha CLOUDS TV.Ambapo baadhi ya mabibi walikusanywa na kuwekwa pamoja huku kila mmoja akionyesha kipaji,ufundi na utundu alionao na bibi aliyeibuka kidedea ndo kama unavyomuona hapo chini;
| Veronica Mpangala a.k.a Tukinao |
Monday, August 20, 2012
Gazeti La Ijumaa>>Unafiki wa Wema Sepetu na Snura.Kisa ni...!!
| WEMA NA SNURA |
MTU WA KARIBU ATIRIRIKA
Kwa mujibu wa chanzo makini ambacho ni mtu wa karibu wa mastaa hao, Wema na Snura walikuwa marafiki vinyonga kwani kila mtu alijua muda siyo mrefu watasalitiana na kuanza kuvujisha siri zao na hicho ndicho kilichotokea.
KISA NI NINI?
Kwa mujibu wa chanzo hicho, Wema alidai kuwa Snura amemsema vibaya kwa ndugu zake na kutangaza kwa wanahabari kuwa amerudiana na mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, jambo ambalo lilimchukiza.
Chanzo kilitiririka kuwa baada ya urafiki huo kuvunjika, Wema alimnyang’anya Snura vitu vyote ambavyo alikuwa amemnunulia na kuanzia hapo mawasiliano baina yao yalikatika.
“Snura ameamua kuvunja kile kiapo alichokula runingani kwa machozi, sasa sijui atapata wapi yale mawigi aliyokuwa akipewa na Wema?,” kilihoji chanzo na kuingia mitini.
SNURA ANASEMAJE?
Alifunguka: “Mimi sijui sababu ya urafiki wetu kuvunjika kwa sababu Wema hajaniambia, angekuwa ni mtu mwenye akili na busara angenieleza.”
NYUMBANI KWA WEMA
Ili kupata mzani wa habari hiyo, Ijumaa Wikienda lilimpigia simu Wema lakini haikupokelewa hivyo likatimba nyumbani kwake ambapo wakiongozwa na Vincent Kigosi ‘Ray’, wasanii hao walitumia nafasi yao kumkashifu mwandishi wetu kwa maneno mabaya yasiyoandikika gazetini, tunayafanyia kazi.
Sunday, July 29, 2012
Mshindi wa shindano la Tusker Project Fame 5 huyu hapa..!
![]() |
| MKENYA,RUTH MATETE |
Wednesday, July 25, 2012
Saturday, July 21, 2012
Wale wapenzi wa Movie na ChrisBrown hii hapa Trailer ya Battle of the year(3D)
- Battle of the Year stars Josh Holloway (Lost), Chris Brown (Takers), Laz Alonso (Jumping the Broom, Avatar) and Josh Peck (The Wackness).
Friday, July 13, 2012
Baada ya wezi kumvamia Wema Sepetu sasa aamua kumuiga mpenzi wake wa zamani Diamond kwa hili
![]() |
| WEMA SEPETU |
Kwa taarifa yako Diva huyu toka Bongo movies aitwaye Wema Abraham Sepetu baada ya ku-launch movie yake ya superstar kwa kumdondosha Omotola toka Nollywood industry ya Nigeria at Kempinski na baadaye kufanya family party pale Girafe Hotel, yuko tayari kuvunja bank kwa ajili ya kuagiza mkoko mpya aina ya Toyota Prado.
Gari hiyo aina ya Prado itakayo gharimu kiasi cha hela ya Tanzania million sitini mpaka kufika hapa na mambo mengine yote kama usafirishaji na gharama za ushuru wote husika, hiyo itakuwa inakamilisha gari yake ya tatu baada ya ile Mark X na Harrier.Ndiga hii anayotaka kununua Wema Sepetu ni kama ile ambayo mpenzi wake wa zamani,Diamond amenunua hivi karibuni.
| HII NDO PRADO YA DIAMOND AMBAYO WEMA ANATAKA KUNUNUA KAMA HIYO |
Cheki ndinga mpya aliyonunua rapper The Game.
![]() |
| FERRARI LEATHER>>>DOLA 200,000 MPYA YA GAME |
![]() |
| FERRARI LEATHER UMEONA KWANINI WAMEIITA FERRARI LEATHER |
![]() |
| HII NDO FERRARI LEATHER AMBAYO IMEMGHARIMU DOLA 200,000 RAPPER HUYO |
![]() |
| THE GAME |
Wednesday, July 11, 2012
Interview aliyofanya mtangazaji wa Clouds FM Diva na BaabKubwa Magazine hii hapa...!!
![]() |
| DIVA LOVENESS LOVE |
BK: Ngoma yako “Piga simu” inafanya poa, so when should we expect the video?
DIVA: My video itatoka mwezi wa nane, nishaongea na Adam wa Visual lab na sasa hivi he is kinda of busy na project kadhaa. I will pay myself 1.5 million for this video na tutaisambaza kote nikiwa na my media manager Soudy Brown. So TeamDiva get ready for that.
BK: Who are you dating now?
Huyu hapa mkali DIAMOND akiwa kwenye Tour Zanzibar,pia hiki ndicho alichowauliza mashabiki wake na Watanzania kwa ujumla......!Mnyama unyamani
Angalia hizi picha zaidi ya 25 za msanii Diamond alipokuwa anakwenda Zanzibar kwenye Tamasha za ZIFF kisha mwisho kabisa ya hizi picha kuna swali ambalo Diamond amewauliza nyinyi Watanzania na mashabiki wake kwa ujumla...!Mnyama unyamani "DIAMOND PLATNUMZ"
Monday, July 9, 2012
Ile ngoma ya wakali Kigoma All Stars-Leka Dutigite hii hapa,Download na sikiliza hapa
Dhumuni na nia ya kutengeneza wimbo huu ni kuweka umoja wa watu wa Kigoma na Tanzania kwa ujumla. Pia watafanya show ndani ya Kigoma wiki
ijayo kwa ajili ya kusaidia wanafunzi na yatima ndani ya kigoma.Wimbo huu umeshirikisha wasanii wakali wa Kigoma kama vile;Linex,Diamond,Mwasiti,OmmyDimpoz,BabaLevo,BananaZorro,AbduKiba,Recho,Makomando,CheggeChigunda na PeterMsechu

Sunday, July 8, 2012
Saturday, June 23, 2012
Matukio katika Video na Picha shoo ya usiku wa Wema Sepetu uzinduzi wa filamu yake mpya ya "SUPERSTAR" Mnigeria OMOTOLA nae ndani
Msanii maarufu Bongo,Wema Sepetu hapo jana alikuwa anazindua filamu yake mpya iitwayo "SUPERSTAR" katika ukumbi wa Hoteli ya Kempenski ambapo katika tafrija hiyo iliyoandaliwa na msanii huyo ambaye amekuwa gumzo nchi nzima,mgeni rasmi alikuwa msanii kutoka Nigeria,OMOTOLA JALADE.Pia Wema alikuwa anazindua rasmi kampuni yake ya movie iitwayo"ENDLESS FAME" ambayo ndo iliyotengeneza movie hiyo mpya ya mwanadada huyo.Hapa ni picha za baadhi ya watu waliohudhuria PICHA ZAIDI YA 40
![]() |
| MARIAM NDABA(MissiePopular) |
![]() |
| BELINA |
![]() |
| SINGLE MTAMBALIKE(RICH) |
![]() |
| SHAA |
![]() |
| IZZO BIZNESS na DJ CHOKA |
BONYEZA "READ MORE" HAPO CHINI KUONA PICHA ZAIDI
Subscribe to:
Posts (Atom)


































