Facebook LIKE

Wednesday, July 11, 2012

Huyu hapa mkali DIAMOND akiwa kwenye Tour Zanzibar,pia hiki ndicho alichowauliza mashabiki wake na Watanzania kwa ujumla......!Mnyama unyamani

Angalia hizi picha zaidi ya 25 za msanii Diamond alipokuwa anakwenda Zanzibar kwenye Tamasha za ZIFF kisha mwisho kabisa ya hizi picha kuna swali ambalo Diamond amewauliza nyinyi Watanzania na mashabiki wake kwa ujumla...!Mnyama unyamani "DIAMOND PLATNUMZ"














SWALI LA DIAMOND NI HILI;

Diamond;Katika maisha yangu yote hapo ndo ilikua mara ya kwanza kuvaa pens mbele ya hadhara na tena imenibidi tu kwasababu nna kidonda kwenye mguu...basi nilikua kila dakika najishtukia....Ebu nisaidieni jamani nikivaa inanipendeza kweli ama nachekesha.. maana miguu yangu nayo Mmmmh!
PICHA ZAIDI ZA DIAMOND AKIWA ZANZIBAR ZINAFUATA ENDELEA KUFUATILIA BLOG HII.

No comments:

Post a Comment