Facebook LIKE

Wednesday, July 11, 2012

Interview aliyofanya mtangazaji wa Clouds FM Diva na BaabKubwa Magazine hii hapa...!!

DIVA LOVENESS LOVE

BK: Ngoma yako “Piga simu” inafanya poa, so when should we expect the video?
DIVA: My video itatoka mwezi wa nane, nishaongea na Adam wa Visual lab na sasa hivi he is kinda of busy na project kadhaa. I will pay myself 1.5 million for this video na tutaisambaza kote nikiwa na my media manager Soudy Brown. So TeamDiva get ready for that.
BK: Who are you dating now?
DIVA : My relationship status is very private and am grown ass just won’t kiss and tell
BK: Inasemakana ulishajifunika shuka moja na B12.
DIVA: Haijawahi kutokea, B12 is a very good friend of mine kani insipire sana katika radio waves way back katika DR.Beats . In fact sijawahi kutoka na mtu ninayefanya nae kazi Cloudsfm
BK: Rumor has it kwamba unatoka na Kamanda Zitto Kabwe.
DIVA: Nope, he is a politician and am a fan.Zitto ni  Politician ambae ni kipenzi cha vijana wengi.  I salute him na sio zaidi ya hapo.
BK: What about your tweet of u signing out  fishcrab thing @divaakamimi.
DIVA: Me na Lamar we never signed any agreement ya maandishi, amenifanyia everything for free but we been argued recently. Am a radio personality will stay that way, will do music for fun 2 si zaidi ya hapo so am free kufanya popote pale , kiroho safi kabisa, my target ni ringtones bhaasi btw ringtone pays man am loaded lol.

No comments:

Post a Comment