Facebook LIKE

Monday, July 9, 2012

Ile ngoma ya wakali Kigoma All Stars-Leka Dutigite hii hapa,Download na sikiliza hapa

Dhumuni na nia ya kutengeneza wimbo huu ni kuweka umoja wa watu wa Kigoma na Tanzania kwa ujumla. Pia watafanya show ndani ya Kigoma wiki ijayo kwa ajili ya kusaidia wanafunzi na yatima ndani ya kigoma.Wimbo huu umeshirikisha wasanii wakali wa Kigoma kama vile;Linex,Diamond,Mwasiti,OmmyDimpoz,BabaLevo,BananaZorro,AbduKiba,Recho,Makomando,CheggeChigunda na PeterMsechu

No comments:

Post a Comment