Facebook LIKE

Saturday, June 9, 2012

Mario Baloteri kujiunga YMCMB atangaza vita rasmi.....!Jamaa haishiwi vituko huyu hebu angalia hapa

Drake akiwa na mtukutu Super Mario Baloteri
Mchezaji wa ManchesterCity,Mario Baloteri yupo mbioni kujiunga na kundi maarufu la muziki la nchini Marekani,YMCMB.Mshambuliaji huyo amefanya mazungumzo na baadhi ya member wa kundi hilo lenye mashabiki wengi ili aweze kujiunga na member wengine kama;LilWayne,NickiMinaj,Birdman na wengine kibao.Baloteri ambaye sasa yupo na timu yake ya taifa ya Italia katika mashindano ya Euro2012 huko Poland na Ukraine .Inasadikika kuwa ukiachilia mbali mpira pia ni moja kati ya watu wanaojua kuimba vizuri na sasa anampango wa kupiga ndege wawili kwa jiwe moja yaani huku anaimba huku anacheza mpira.Pia mtukutu huyo anataka kumshawishi na mdogo wake pia kwa pamoja wajiunge na kundi hilo la Marekani.Baloteri alifanya mazungumzo na baadhi ya member wa kundi hilo ili aweze kujiunga nao.Mmoja wapo aliyezungumza nae na rapper Drake.
Drake na SuperMario Baloteri
HIYO HABARI JUU IACHE KAMA ILIVYO USIICHUKUE ILA HUYU MTUKUTU ALIKUTANA HIVI KARIBUNI NA RAPPER,DRAKE WA YMCMB NA KUMUELEZA KUWA YEYE NI MSHABIKI MKUBWA WA KUNDI HILO NA AKATANIA KWAMBA ANATAKA KUJIUNGA NA KUNDI HILO.YAANI HUYU JAMAA HUWA HAISHIWI VITUKO SAFARI HII TUSUBIRI TUONE ATAKAVYOMTANDIKA MTU AMBAYE ATAMFANYIA UBAGUZI KWENYE MASHINDANO YA EURO2012 KAMA ALIVYOSEMA MWENYEWE.HUYO NDO THE SUPER MARIO...............!!

No comments:

Post a Comment