Facebook LIKE

Sunday, June 24, 2012

Angalia picha za gari ya Mwana FA baada ya wezi kukomba vitu....................!

Wezi wamemfanyia kitu mbaya msanii Mwana FA baada ya kuiba vifaa vya gari yake kama inavyoonekana kwenye picha

Baada ya tukio hilo msanii huyo ambaye hivi karibuni alifanya show kali ndani ya jumba la BBA aliandika kwenye mtandao wa Twitter yafuatayo;
Hamis Mwinjuma @Mwana FA
Next time nikikuta watu wanapiga mwizi na mtu akanizuia nisishiriki ntaanza na yeye kwanza.. 
Hamis Mwinjuma @Mwana FA
...alright,life goes on..

ILA KITU CHA KUSHANGAZA WEZI HAO WAMEIBA HIVYO VITU ILA SIGHT MIRROR WAMEACHA HUKU WAKIBEBA HADI PLATE NUMBER ZA MBELE ZA GARI HIYO AINA YA MARKII GX110 HAWA WEZI WANATURUDISHA NYUMA KWELI.....!!!!!
Blog ya Wenye Mji inatoa pole kwa mkali huyo wa BongoFleva.

No comments:

Post a Comment