Facebook LIKE

Friday, June 15, 2012

Angalia jinsi ChrisBrown alivyotolewa ngeu na Drake.Kisa.................................!



Sehemu ya club kulikotokea ugomvi kati ya Drake na Chris Brown jana usiku huko New York Marekani.
According to globalgrind ni kwamba jana usiku glass zilizopasuliwa ziliharibu mazingira ya club ya usiku ya WIP downtown Manhattan aka Manny-Hanny New York.
Drake, Meek Mill na Chris Brown walikua kwenye Club hiyo kwenye signing party ya Teyana Taylor kwenye label ya G.O.O.D MUSIC.
Mashuhuda wanasema Chanzo cha huo ugomvi ni pale Chris Brown aliponunua chupa ya pombe na kumtuma muhudumu ampelekee Drake baada ya kugundua kuwa ni ChrisBrown ndiye aliyemtuma mhudumu Drake akamtuma tena mhudumu huyo kwenda kwa ChrisBrown na amwambie kuwa yeye (Drake) alilala na mwanamke wake ambaye ni Rihanna na ni mtamu sana kitandani maneno ambayo yalimchoma ChrisBrown,Chris Brown kusikia hivyo ndipo alipomaind na kumfuata rapper huyo wa YMCMB
Alimfata Drake alipokuepo na kuanza kulumbana kuhusu Rihanna na kupelekea kumpiga Chris Brown usoni na kumchana mdomoni na chupa na kujihami kwa chochote kitakachoweza kutokea.

.
Inasemekana Meek Mill ambae hapatani na CB anahusika kuchochea huo ugomvi manake ndio alikua pamoja na Drake.
Chris Brown muda mfupi baadae alijipiga picha ya alipoumia na kuiweka kwenye page yake ya twitter akiiambatanisha na kauli za matusi na kejeli, aliuliza chupa kitu gani? kisha akaweka alama ya kicheko na kusema mchezo wa kurupigana na chupa ni wakike, wanaume mnarusha chupa? kweli nyie dhaifu.

Moja kati ya Tweets za Chris Brown.

Hii tweet pamoja na MeekMill kutajwa kuwa anaweza kuhusika kwenye huo ugomvi,Chris Brown kaandika kwamba yeye na MeekMill hawana ugomvi.

No comments:

Post a Comment