Facebook LIKE

Thursday, May 31, 2012

Single cover ya nyimbo mpya ya LilWayne feat.BigSean pia asema bifu lake na PushaT haliwezi kuharibu uhusiano wake na BigSean...!

LilWayne anaweza kuwa na bifu na PushaT ila hilo halijaharibu uhusiano wake na rapper BigSean.Weezy amemshirikisha rapper huyo wa G.O.O.D Music katika singo yake mpya ya kwanza kutoka katika album yake ya 10,"I Am Not a Human Being II" iitwayo (My Homies Still) nyimbo hiyo itaingia hewani(released) leo 1/6/2012.Endelea kuifuatilia www.wenyemji.blogspot.com kuweza kupata nyimbo hiyo leo leo siku ambayo inatambulishwa STAY TUNED for it..!

No comments:

Post a Comment