Facebook LIKE

Thursday, May 31, 2012

Kim Kardashian,Kanye West waamua kuuza nyumba zao ili waishi pamoja.......!

Couple hao Kim Kardashian pamoja na Kanye West wameziweka nyumba zao kwenye soko,ili tuu waanze kuishi wote pamoja kwenye nyumba moja.Wasanii hao wamekuwa guzo siku za karibuni tangu warejee katika uhusiano wa mapenzi tangu walivyoachana hapo awali.Pia imeelezwa kiasi ambacho Kim Kardashian anataka alipwe kwa yeyote aliyetayari kununua nyumba yake hiyo ni dola za kimarekani milioni5 zaidi ya bilioni8 za kitanzania...!

Pia mpenzi wake Kanye West ameiweka nyumba yake iliyopo Los Angeles sokoni ili wawili hao waweze kuishi pamoja katika mjengo mmoja pamoja kama wapenzi.

No comments:

Post a Comment