Facebook LIKE

Friday, August 10, 2012

Huyu ndo msanii wa kwanza kusign kwaajiri ya shoo za FIESTA 2012 Bongo...!!

Kila mwaka matamasha makubwa ya Fiesta huwa yanafanyika nchi ikiwa ndo yanaelekea kuanza kwa matamasha hayo ambayo hufanyika nchi.Huyu ndo msanii wa kwanza wa Kibongo kusign kwaajili ya kufanya shoo hizo za FIESTA 2012
SHETTA
Baada ya kusign Shetta aliandika kwenye account yake ya BBM kuwa;
"Am happy to be the first 2 sign for the fiesta shows contract....thnx Mr Joseph Kusaga na uongozi wote......!!"

No comments:

Post a Comment