Facebook LIKE

Saturday, June 30, 2012

Yanga yaichapa Express ya Uganda katika mechi ya kirafiki kuelekea michuano ya Kagame pia yatangaza walioachwa rasmi.

Yanga imewachapa Mabingwa wa Uganda,Express FC katika mchezo wa kirafiki uliochezwa leo katika Uwanja wa Taifa,Dar es salaam.Katika mchezo huo mabao ya Yanga yalitiwa kimiani na mshambuliaji Jerry Tegete katika dakika ya 3 na 19.
Kikosi cha Yanga kilikuwa hivi;

Yule raisi wa mateja Bongo huyu hapa mwangalie akifunguka baadhi ya mambo kuhusu yeye......!

Angalia Video ya Flora Mvungi akimchana Irene Uwoya kuhusiana na H-Baba hii hapa exclusive


HIKI HAPA NDO KISA CHA KILA KITU

Video aliyoshirikishwa Linah akiwa Marekani hii hapa....!!!AJ Ubao ft Linah-All I Need

Thursday, June 28, 2012

Picha ya game ya PLAYSTATION 4 hii hapa...............!

PLAYSTATION 4
"PLAYSTATION 4" INATARAJIWA KUWA HIVI

Huu ndio mzigo ambao Drake na Chris Brown wamewekewa mezani ili.........................!"wapande ulingoni"

  • Mashabiki wataka Rihanna awe refa
CHRIS BROWN
Siku chache baada ya wanamuziki walio kwenye bifu kubwa Chris Brown na Drake kuwekewa mzigo wa dola za Kimarekani millioni 1 kila mmoja iliwapande ulingoni kuzichapa,Chris Brown amejibu na kusema yupo tayari kwa pambano hilo kupitia Twitter account yake Breezy aliweka picha akiwa chini ikimaanisha lazima atamgalagaza chini rapper huyo wa YMCMB,Drake.Kama inavyoonekana hapo juu ndo jinsi atakavyogalagaza.Ila baadhi

Wednesday, June 27, 2012

Hii ndio zawadi ambayo Kanye West alimpa Jay Z katika "Father's day"

According to The Insider, Kanye West gave Jay-Z the ultimate Illuminati collectible on Father's – a solid gold skull! rumored to have cost Yeezy $34,000! The yellow gold piece is a Lions & Sons Divora Skull with 1,680 star-cut red topaz gemstones. Kanye wanted to see the look on his best friend’s face when he opened the gift, so he allegedly charted a private jet to hand deliver the gift.

*******Hawa ndo wa kuzungumzia mambo ya FREEMASON bhana sio sisi bhanaa.....!*************

Angalia clip fupi ya reaction ya RONALDO baada ya FABREGAS kumalizia penati ya mwisho na ya ushindi kwa Spain

  • Kumbe ilikuwa apige penalti ya tano
  • Ndoto za uchezaji bora sasa zafifia kwa Ronaldo 
pic.twitter.com/jhDXoDI7
KUSHOTO NI COENTRAO,RONALDO,PEPE BAADA YA KUTOLEWA NA SPAIN
Share photos on twitter with Twitpic

HUYU NDO DIAMOND "RAISI WA WASAFI" MJUE VIZURI NA HIZI "MNYAMA UNYAMANI"

ANGALIA PICHA ZAIDI YA 50 HAPA;

  • Angalia nyuma ya pazia ya baadhi ya shows zake kabla na baada ya show; 
  • Huyu ndo Raisi wa Wasafi bhanaa kama hautaki yeye anasema "wewe nuna tu"halafu atauliza "Nani amenuna?"

KWA PICHA ZAIDI BONYEZA "READ AND VIEW MORE" HAPO CHINI..!

Angalia video mpya ya NAS 3 & Ricci Boi"KING KAPITA"-Mtoto mlito,exclusive hapa

Tuesday, June 26, 2012

Angalia shoo za TMK Wanaume Family na Mwana FA ndani ya ukumbi wa DarLive hapa



BONYEZA "READ MORE" HAPO CHINI KUONA NA SHOO YA MWANA FA

Angalia video mpya ya Pipi-Unapokuwa Mbali,hapa exclusive

Angalia picha za 50 Cent alivyopata ajali jana

50 CENT AKIKIMBIZWA HOSPITALI
LORI LILOGONGA GARI YAKE
50 Cent Involved In 'Horrific' Car Accident
50 CENT BAADA YA KUPATA AJALI JANA
50 CENTS AKITOLEWA ENEO LA TUKIO


50 Cent has reportedly been hospitalised after being involved in a 'horrific' car crash.

According to fan-site ThisIs50.com, the accident occurred on the Long Island Expressway in New York, after his bullet-proof SUV was hit from behind by a Mack truck.

Paramedics are thought to have rushed to the scene of the collision, with the website showing pictures of the In Da Club hitmaker lying on a stretcher and wearing a neck brace as he is taken to Queens hospital.

It is thought Fiddy - real name Curtis Jackson - is undergoing tests on his neck and back - although the website is yet to reveal any further details concerning his condition.

Jackson's driver was also apparently taken to hospital, with reports stating that Fiddy's car almost flipped over as it was struck by the truck.

The truck driver has reportedly told police that the accident occurred when the load he was carrying shifted, resulting in him losing control of the vehicle.

Angalia Video mpya ya AMAZON-Checherumba,exclusive hapa

Angalia Video mpya ya Dogo Aslay ft Chege-Umbea hii hapa

Angalia gari mpya aliyonunua rapper Soulja Boy dakika 5 tu baada ya kupata ajali na gari yake nyingine pia anaelezea mwenyewe ajali ilivyotokea.......!



Soulja Boy car accident
HII NDO ALIYOPATA NAYO AJALI "RED BENTLEY YA MWAKA 2013"
HII NDO ALIYONUNUA BAADA YA HIYO NYINGINE KUPATA AJALI "AUDI YA MWAKA 2013"
HAPA GARI YAKE BENTLEY IKITOLEWA KATIKA ENEO AJALI ILIPOTOKEA  

Rapper huyo pia alikuwa ameitungia nyimbo gari yake iliyopata ajali Bentley.Nyimbo hiyo ilikuwa inaitwa "RED BENTLEY"*nyimbo ipo humu.

Makombora ya Said Bahanuzi yawachanganya mashabiki ya Yanga mazoezini


  • Dumayo,Abdul,Msuva,Mbogo nao wapagawisha mashabiki Kaunda
  • Niyonzima nae kutua kuongeza kachumbari
  • Minziro achanganyikiwa hajui ampange nani amwache nani?
  • Straika Mnyarwanda nae kuvaa jezi za njano na kijani
Vifaa vipya vilivyosajiliwa msimu huu vinazidi kuwapa kiwewe wapenzi na mashabiki wa klabu ya Yanga huku kocha msaidizi Fred Felix Minziro akiwa na kibarua kigumu cha kutambua vipaji vya kila mchezaji ambapo kila mmoja akionyesha jitihada za kutafuta namba ya kudumu .
Katika mazoezi hayo mchezaji Said Bahanunzi

Sunday, June 24, 2012

Angalia picha za gari ya Mwana FA baada ya wezi kukomba vitu....................!

Wezi wamemfanyia kitu mbaya msanii Mwana FA baada ya kuiba vifaa vya gari yake kama inavyoonekana kwenye picha

Download na sikiliza nyimbo ya mkali kutoka Darstamina,Nuh-Bwege Mtozeni

Angalia Picha za Diamond akiwa "CLUB E" hapa,Jamaa anatisha kweli...........!

PICHA 20 ZA DIAMOND;



BONYEZA "READ MORE HAPO CHINI" KUONA PICHA ZAIDI ZA DIAMOND AKIWA ANAPERFOM HUYU JAMAA ANATISHA KWELI PICHA KWA HISANI YA(thisisdiamond.com)

Picha za Gari ya rapper Soulja Boy alivyopata ajali jana na alichoandika kwenye Twitter baada ya ajali

SOULJA BOY
Soulja Boy car accident
BENTLEY YA RAPPER SOULJA BOY ALIPOPATA AJALI
Soulja Boy got into a car accident in his gleaming red Bentley
AJALI ILIVYOKUWA

Soulja Boy Tweeted>>Too all my fans sorry for not tweeting, but yest what happened. I was in a car accident. I need time to my self.. sorry I'll tweet l8r

Soulja Boy Tweeted>>Yeah me too fans My life is more important than a 250k+ car I paid for cash. I got a 2013 Audi 5mins after the accident so I must be blessed

Soulja Boy Tweeted>>I know my fans want me to make a statement, yes I crashed my bentley yesterday. as YES I was MAD AS FUCK. But I got a new Audi in 5mins. but         

Mwanamke aliyekuwa anaendesha gari lengine lilohusika katika ajali hiyo akizungumza na mtandao wa TMZ amesema gari la Soulja Boy ndiye lililomvaa wakati yeye akiwa anasubiri mataa ya mruhusu.

Ili inasemekana kuwa rapper SouljaBoy yeye alikuwa anaendeshwa na bodyguard wake kwahiyo yeye hakuwa anaendesha na polisi bado wanafanya uchunguzi kujua nani alikuwa chanzo wa ajali hiyo.Katika ajali hiyo hakuna mtu aliyeumia zaidi ya magari hayo kuharibika.Dakika chache baada ya ajali hiyo Soulja Boy alinunua ndinga mpya AUDI ya 2013.

Angalia Video ya RickRoss ft MeekMill-So Sophisticated exclusive

Saturday, June 23, 2012

Matukio katika Video na Picha shoo ya usiku wa Wema Sepetu uzinduzi wa filamu yake mpya ya "SUPERSTAR" Mnigeria OMOTOLA nae ndani

Msanii maarufu Bongo,Wema Sepetu hapo jana alikuwa anazindua filamu yake mpya iitwayo "SUPERSTAR" katika ukumbi wa Hoteli ya Kempenski ambapo katika tafrija hiyo iliyoandaliwa na msanii huyo ambaye amekuwa gumzo nchi nzima,mgeni rasmi alikuwa msanii kutoka Nigeria,OMOTOLA JALADE.Pia Wema alikuwa anazindua rasmi kampuni yake ya movie iitwayo"ENDLESS FAME" ambayo ndo iliyotengeneza movie hiyo mpya ya mwanadada huyo.Hapa ni picha za baadhi ya watu waliohudhuria PICHA ZAIDI YA 40
MARIAM NDABA(MissiePopular)

BELINA




SINGLE MTAMBALIKE(RICH)

SHAA


IZZO BIZNESS na DJ CHOKA
BONYEZA "READ MORE" HAPO CHINI KUONA PICHA ZAIDI

Angalia Video ya Masanja Mkandamizaji-Hakuna Jipya hapa

Video mpya ya CindyRulz ft A.V.I.D-Redio exclusive hapa,rapper wa kike kutoka Fishcrab ya Lamar....!

Beki aliyesajiliwa kuziba pengo la Yondan,Simba huyu hapa ni Mkongomani.Huku wakiichapa Toto katika mechi ya kirafiki

BEKI MPYA WA SIMBA,MASOMBO LINO
KLABU ya Simba SC, imefanikiwa kumsajili beki wa kati wa kimataifa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Masombo Lino kutoka Daring Club Motema Pembe.Akizungumzia suala hilo msemaji wa Simba Ezekiel Kamwaga amesema

Video mpya ya Belle9-Amerudi,hii hapa exclusive...!From City without Ocean Belle9

Huku Yanga wakitarajia kutangaza kocha mpya Jumatatu,Kiongozi wa usajili Seif Ahmed akanusha usajili wa Ngassa Yanga

Kiongozi wa Usajili wa Yanga, Seif Ahmed aliliambia gazeti la Mwanaspoti jana kwamba: "Yanga haijamsajili Ngassa kutoka Azam wala Nurdin haendi kokote.

"Nisikilize, mimi ndiye ninayesimamia usajili wote wa Yanga. Tunaheshimu mkataba wa Ngassa na Azam na hata kama angekuwa hana mkataba, tungemsajili kama tungemhitaji na si yeye atuhitaji sisi. Ndivyo tufanyavyo usajili siku zote, hatuwezi kusajili ilimradi, tunazingatia nafasi na matakwa ya benchi la ufundi.

"Mimi kukutana na Ngassa mtaani haimaanishi kwamba tunataka kumsajili ni rafiki yangu haihusiani na mambo ya Yanga. Huu ni mpira siyo siasa, hakuna nafasi ya Ngassa kwa sasa waambieni watu waelewe."



Katika hatua nyingine Yanga inatarajia kumtangaza kocha mpya siku ya Jumatatu,ila kuna tetesi kocha huyo akawa ni Mkenya Jacob Ghost Mulee ambaye pia inasemekana imeiambia Yanga kama wanataka kumpa Timu basi wahakikishe wanampa mkataba wa mwaka mmoja na kuendelea sio mkataba wa muda mfupi kama Yanga walivyopanga kumpa.Yanga wanataka kumpa mkataba wa miezi miwili tu ya kuinoa timu katika mashindano ya Kagame.

Swag...!ndo habari ya mjini sasa hii hapa wasanii wa kike na wadada mnaweza chukua wanaitwa OMG-Girlz

Je unajua members wengine wa YMCMB wanamtazamo gani juu ya bifu ya ChrisBrown na Drake?Na walichomwambia Drake hiki hapa....!


Lil Wayne and the rest of the Young Money crew want Drake to put an end to his beef with Chris Brown because the bad blood is bad for business! details below!

It’s a sign that as badass as rap may be … the bottom line is the bottom line.
Sources close to Drake tell TMZ, Drizzy has received several calls from Weezy, Birdman, Mack Maine and more — urging the rapper to extend an olive branch to Brown after last week’s nightclub brawl in NYC.
Sources tell us, Wayne and co. are worried the rift will affect business — since Brown appears on several tracks with Young Money members and, pure and simple, Brown = hits.
We’re told Drake doesn’t want to reach out to Breezy until he knows CB doesn’t actually blame him for last week’s melee — despite what Brown’s lawyer has been saying … that Drake was one of the aggressors.
We’re told Young Money’s on Drake’s side no matter what — but as one source put it, “Making money matters most.”

Je bifu la Lil Wayne na Pusha T limeisha?Lil Wayne afunguka hapa.....!


Lil Wayne: I just finished recording my “I Am Not a Human Being II” album. And we’re starting to work on the Young Money album. … It really wasn’t no beef, you know. It was just me. I just reacted. Just a reaction, a simple reaction. I don’t apologize for it because I’m human. But it was just my human reaction. I don’t take it back. But there’s no beef. Beef is a whole different thing. … I’ll move on.

Sababu ya mkali kutoka MMG,Meek Mill kufuta Tour yake ulaya hii hapa

meek tweeted: “The uk tour has been cancelled bcuz I can’t get in yet because felty past criminal record but my lawyer will get things fixed soon” more details coming soon!


Friday, June 22, 2012

Muonekano wa Cyrill"KAMIKAZE" watu washindwa kuamini macho yao wengine wabaki hoi na walivyomuona..........!

Msaani kutoka kundi la WAKACHA ambaye pia ndiye kiongozi wa kundi hilo linalosifika kwa Swag za uhakika ndani ya Bongo Cyrill aka KAMIKAZE juzi kati alizua sitofahamu baada ya muonekano wake kuwa tofauti na kawaida yake,kituko hicho kilitokea maeneo ya Ubungo wakati akishoot video mpya ya msanii kutoka kundi lake la WAKACHA,GiggaFlow nyimbo ambayo Cyrill ameshirikishwa iitwayo Usiku na Mchana.Moja kati ya mashabiki hao alikuwa mwanadada ambaye alishindwa kuamini alichokiona baada ya kumuona Cyrill katika hali hiyo huku wengine wakizani amerogwa....!Baadae aligundulika na mashabiki hao kuwa Cyrill alikuwa location akishoot video hiyo mpya.
GIGGA FLOW FT CYRILL-USIKU NA MCHANA


HAHAHAAAA.....!HUYU NDO CYRILL KATIKA VIDEO MPYA ULIOSHANGAZA WATU
MOJA YA MASHABIKI WAKE ALIBAKI HOI KABLA YA KUJUA NI LOCATION
BAADA YA KUJUA ALIKUWA LOCATION BASI NAMBA ZIKAHUSIKA
AKIWA ANASHOOT VIDEO HIYO YA GIGGA FLOW
KAMIKAZE KAZINI
GIGGA FLOW NA KAMIKAZE-USIKU NA MCHANA NEW VIDEO SOON
GIGGA FLOW FT CYRILL-USIKU NA MCHANA VIDEO SOON STAY TUNED

Hebu angalia hii unaweza pata kitu kutoka hapa.............!

Picha 9 za Amber Rose akiwa anashoot movie mpya ya"School Dance" hizi hapa......!Kama kawaida zawa gunzo....!