Facebook LIKE

Thursday, May 31, 2012

Picha na video za Jezi mpya za Realmadrid 2012-2013









Single cover ya nyimbo mpya ya LilWayne feat.BigSean pia asema bifu lake na PushaT haliwezi kuharibu uhusiano wake na BigSean...!

LilWayne anaweza kuwa na bifu na PushaT ila hilo halijaharibu uhusiano wake na rapper BigSean.Weezy amemshirikisha rapper huyo wa G.O.O.D Music katika singo yake mpya ya kwanza kutoka katika album yake ya 10,"I Am Not a Human Being II" iitwayo (My Homies Still) nyimbo hiyo itaingia hewani(released) leo 1/6/2012.Endelea kuifuatilia www.wenyemji.blogspot.com kuweza kupata nyimbo hiyo leo leo siku ambayo inatambulishwa STAY TUNED for it..!

Muone hapa kwenye picha rapper BigSean akiwa ndani ya Grills zake alizotupiwa na rapper mwenzake Paul Wall....!!



Rapper kutoka kipande cha Detroit,BigSean hivi karibuni alitupiwa na Grills mdomoni mwake.Rapper huyo ambaye alitweet picha zake hizo akiwa amevaa Grill hiyo aliyowekewa na rapper mwenzake kutoka kipande cha Houston,Paul Wall.

Video ya Chris Brown feat.WizKhalifa,BigSean-Till i Die,hii hapa

Angalia Video ya JayZ & Kanye West-No church in the wild hapa......!

Angalia video mpya ya WizKhalifa-The Grinder hapa

Wanawake 12 waumia katika shoo ya Justin Bieber huko Norway angalia video ya mambo yalivyokuwa

Kim Kardashian,Kanye West waamua kuuza nyumba zao ili waishi pamoja.......!

Couple hao Kim Kardashian pamoja na Kanye West wameziweka nyumba zao kwenye soko,ili tuu waanze kuishi wote pamoja kwenye nyumba moja.Wasanii hao wamekuwa guzo siku za karibuni tangu warejee katika uhusiano wa mapenzi tangu walivyoachana hapo awali.Pia imeelezwa kiasi ambacho Kim Kardashian anataka alipwe kwa yeyote aliyetayari kununua nyumba yake hiyo ni dola za kimarekani milioni5 zaidi ya bilioni8 za kitanzania...!

Pia mpenzi wake Kanye West ameiweka nyumba yake iliyopo Los Angeles sokoni ili wawili hao waweze kuishi pamoja katika mjengo mmoja pamoja kama wapenzi.

Sikiliza na download nyimbo mpya ya Justin Bieber-Die in Your Arms hapa

Justin Bieber - Die In Your Arms :: Www.MYBiseda.Com ::. - Justin Bieber - Die In Your Arms

Powered by mp3skull.com

Ngoma mpya ya Rihanna-Where have you been Download hapa

Rihanna - Where Have You Been ( www.1.tehranhits19.com )� - Rihanna - Where Have You Been ( www.1.tehranhits19.com )�

Powered by mp3skull.com

Tuesday, May 29, 2012

Video ya Birdman feat LilWayne-Dark Shades

Video ya DjKhaled feat ChrisBrown,Rickross,NickiMinaj,LilWayne-Take It To The Head

Video zote za JUX kutoka Wakacha hizi hapa....!

Tetesi za Usajili Bongo hizi hapa,Unaijua bei ya kumng'oa Okwi Msimbazi..?Hii hapa........

1.Golikipa Mghana wa Yanga kubaki Jangwani mara baada ya kuongeza mkataba na klabu hiyo ya Yanga.

2.Imefahamika kuwa kiungo wa zamani wa klabu ya VancouverWhiteCaps,NizarKhalfan ameitosa klabu ya Simba na kuamua kujiunga na mabingwa wa zamani Yanga,pia inasemekana amesaini mkataba wa mwaka mmoja na Yanga.

3.Simba yaachana na JerryTegete,klabu ya Simba imesitisha mpango wake wa kumsajili mshambuliaji wa Yanga JerryTegete baada ya kusemekana kuwa mchezaji huyo ana mapenzi zaidi na Yanga hivyo wana wasiwasi kama ataweza kuitumikia Simba vizuri.

4.Yanga kuibomoa MtibwaSugar,klabu ya Yanga ipo kwenye hatua ya kuwasajili wachezaji watatu kutoka Mtibwa kwa mpigo.Wachezaji hao ni washambuliaji SaidiBahanuzi na HusseinJavu pamoja na beki wa kulia chipukizi JumaAbdul.Pia inasemekana Yanga itajaribu kumsajili mshambuliaji wa zamani wa Simba,DannyMrwanda ila kama itashindikana wataelekeza nguvu zao kwa Javu na Bahanuzi.

5.Shiboli asaini PolisiMorogoro inaelezwa kuwa mshambuliaji wa zamani wa Simba,KageraSugar amesaini na timu ya PolisiMorogoro baada ya kuachwa na CoastalUnion.

6.RamadhaniChombo"Redondo";Siondoki Azam FC,kiungo mchezeshaji wa Azam RamadhaniChombo amesema hatarajii kuondoka katika klabu hiyo huku akisema Azam mwakani itashiriki michuano ya CAF.

7.Simba yataja bei ya EmmanuelOkwi,Yanga yadai wanataka kumng'oa Msimbazi mshambuliaji huyo raia wa Uganda.Simba wasema ni dola 900000 zaidi ya bilioni moja za kitanzania

8.Azam FC;Tulishakamilisha usajili wetu msituhusishe na kusajili wachezaji wengine.

9.Coastal union;Usajili tuliofanya lazima tuchukue ubingwa msimuu ujao.Wasema lazima wacheze michuano ya kimataifa na kuiwakilisha nchi kimataifa,wazionya Simba na Yanga.

T-Shirt za WAKACHA hizi hapa..!

 T-Shirt za kundi la Wakacha Warriors
Hao ndo members wa Wakacha Warriors kutoka kushoto ni FlowTheBanks(GiggaFlow),Cyrill(Kamikaze) ambae ndo kiongozi wa kundi hilo na JuxVuitton(JUX)
KWA WANAOZIHITAJI KWA JUMLA NA REJAREJA PIGA 0714150416 SASA

Video mpya ya FidoDido feat. TundaMan-Nesa nesa

Monday, May 28, 2012

Video mpya ya Birdman feat. Rickross-Born Stunna

Angalia hapa video ya Shetta feat. Diamond-Nidanganye

Unaijua gari ya bei nafuu zaidi Duniani,na inayotarajiwa kuwa ya bei nafuu zaidi?Hizi hapa....

 Hii ndo gari ya bei nafuu zaidi Duniani inaitwa TATA NANO zinatengenezwa India na gharama yake kujumuisha na ushuru(TAX) ni kama Dola$2500 za Kimarekani sawa na Shillingi milioni 2.78 ya Kitanzania hapo kujumuisha na kodi zote.
                                                                    TATA NANO(India)
Na hii ndo gari inayotarajiwa kuwa ya bei nafuu zaidi dunia inaitwa Gleagle IG zinatengenezwa China,hawa jamaa wachina wanataka kupiku rekodi inayoshikiliwa na TATA NANO gari za India ambazo ndo za bei nafuu zaidi jamaa wa kichina kweli hawana masihara gari hii itakuwa inagharimu takribani Dola$2220 za Kimarekani sawa na Shillingi milioni 2.35 za Kitanzania pamoja na kodi(TAX) zote.
                                                               GLEAGLE IG(China)

Haya ndo magari KUMI ya bei mbaya zaidi duniani.....!

FUNGUA HAPO CHINI KUYAONA MAGARI YA BEI MBAYA ZAIDI DUNIANI
http://www.thesupercars.org/top-cars/most-expensive-cars-in-the-world-top-10-list/?fb_ref=AL2FB&fb_source=email

Sunday, May 27, 2012

Baadhi ya picha za wachezaji,mashabiki wa Simba ndani ya DarLive kwenye sherehe za ubingwa na kumuenzi marehemu,PatrickMafisango

w
 Wakijivinjari jijini Simba mapema
 Mashabiki wengi wakiwa kwenye msafara wa Wekundu hao

 Amos Makalla(alikuwa mgeni rasmi ndani ya DarLive) na Geofrey Kaburu(makamu mwenyekiti wa Simba)
 Mzee Ngurumo nae ndani
 Saleh Ally na Hassan Dalali
          Biashara nazo zilichukua nafasi yake
 Mashabiki
 Isha Mashauzi kabla hajapanda stegini
 Juma Kaseja bado alilimlilia Mafisango
Dua kwa ajiri ya Mafisango

Msanii AY ndani ya SouthAfrica akishoot video yake mpya iliyogharimu...


Msanii anayefanya vizuri kimataifa kutoka Tanzania AY alifika salama nchini Afrika Kusini kwaajiri ya kushoot video ya wimbo wake mpya msanii huyo,ambaye aliambatana na Producer kutoka MJ Records,MarcoChali ambaye ndiye mtayarishaji wa wimbo huo mpya wa AY.Video hiyo inasemekana imegharimu dola za kimarekani 20000(takribani millioni30 za kibongo) na Director wa video hiyo ni MikeOgeke ambaye ni Mnigeria anayeishi AfrikaKusini pia Director huyo hufanya kazi na wasanii wa Nigeria kama P-Square ambao pia inasemekana wapo AfrikaKusini ila haijadhibitishwa kama wataonekana kwenye video hiyo ya AY.

Diamond ndani ya BBA picha na video akiwa anaperform kwenye BigBrother na kabla akiwa kwenye rehasal

 Diamond alipokuwa kwenye rehasal kabla ya shoo kushoto ni Babu Tale

 Akiwa kwenye rehasal kabla ya shoo
 Diamond akiwa anajiandaa hapo holding room

 Muda mchache kabla hajapanda stejini
Msanii anayefanya vizuri kwasasa Bongo,Diamond akiwa kwenye anafanya shoo kali ndani ya BigBrotherAfrika,

Baadhi ya picha ya hali ilivyokuwa Zanzibar



Zanzibar inazidi kuchafuka kutokana na maandamano ya baadhi ya raia wakitaka kujitoa kwa Zanzibar katika muungano na kupinga muungano na Tanzania bara.Hizo ni baadhi ya picha ya hali ilivyokuwa Zanzibar

DogoAslay:Nilimtungia nyimbo sugarmummy

Msanii kutoka TMK bwana mdogo DogoAslay amefunguka na kusema kuwa alimtungia wimbo shuga mummy ambaye alikuwa anamsumbua na kumtaka kimapenzi msanii huyo amesema hayo baada ya kuhojiwa na mmoja ya kituo cha redio.Wimbo huo ambao ni (Nataka uwe wangu) alimshirikisha Temba pia kutoka TMK.Wadau wengi wa tasnia ya muziki hawakuupokea vizuri wimbo huo kutokana na kusema ni bado mdogo kuanza kuimba nyimbo za mapenzi DogoAslay mwenye miaka16 amesema sugar mummy anayemtaka ni kama mama yake.